16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

31
inspiring kenyan youth web fm sms comix chapta 16 not for sale

description

Chapta 16 - Full Comic

Transcript of 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

Page 1: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

inspiring kenyan youth

web fm sms comixchapta 16not for sale

Page 2: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

Team gani ilishinda 2010 Kenya Premier League?

Last World Cup (2010) ilichezwa kwa country

gani?

Dennis Oliech anachezea Auxerre ambayo ni club

iko country gani?

Football game ya tournament iko na substitutions

ngapi?

Emanuel Adebayor wa Real Madrid ni wa country

gani Africa?

Bob Mugali, player wa Harambee na Sofapaka, ni

origin wa country gani?

AHA! kama unapenda futa kunIlIko, jarIbu

hII quiz yangu!good luck!

1. Ulinzi Stars2. South Africa3. France4.35. Togo6. Congo

maswali

MAJIBU:

1.2.

3.

4.

5.

6.Cheki majibu chini

Page 3: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

Man Like Kalito!

3

Page 4: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

4

Page 5: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

5

Page 6: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

6

Page 7: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

Pata info juu ya kufuga

kuku kwa page 9

7

Page 8: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

KuKu ni biz Poa ya Kufanya Kando:

1. unaweza fuga kienyeji, hybrid, broilers ama layers.2. Kama unataka kienyeji, unaweza nunua kwa jirani ama rafiki mwenye tayari anafuga.3. Kama unataka za grade, unaweza nunua kwa: • Muguku • ideal[Sigma] • Kim [wako nakuru] • Kenchic Hawa hu-provide kuku yenye ni 1 day old na ina-cost kshs 60 kwa chick moja. ya kienyeji moja ni kshs 80.4. ongea na agrovet aliye karibu na wewe juu ya risto za dawa za kuku.5. Hizo kuku unaweza uzia supermarket, hoteli, duka, butchery na ma-customer wengine.

Kama hauna space ya kuweka kuku kwa saa hizi, ongea na beste mwenye ana ka-ploti akuwekee

umpatie commission ausio?!

na kuku zote Kenya hutaga mayai 1.3 biLLion kwa

mwaka…yaani, ukizipanga side by side zote, zitazunguka dunia

mara mbili!!

Hebu fikiria: Kuku 3 layers,

zinaingiza kshs 500 kwa mwezi!

Biz ya kuku ndio imefikisha

Eunice penye ako saa hizi! Imagine thao kwa wiki! Kuweni wajanja!

Hebu try hii idea u-show DJ B kwa

3008!

EunicE Mainabase: Ruai

Wax: Radio Producer … lakini

kandokando, anafuga kuku…

Tangu nikuwe mtoi, nilitaka sana ku-do job ya radio. Lakini sikuwa na dooh za fare na ku-hustle. nilikuwa

na savings kiasi, nika-omba wazazi kuku moja. Then nika-buy zingine

mbili. Hizi kuku ndio zimefanya ni-achieve dream yangu ya kuwa

Radio PRoducER.

niliamua nifuge kuku za kienyeji juu hazina job mob.

Saa hizi nina kuku 65. Kwa wiki, mayai zinaingiza 1000, kukiwa

na sherehe, kuku wa nyama wanaleta kama 6,000!

ni biz poa, na imeniwezesha ku-hustle. Pia nikiwa na emergency,

najua kuna dooh iko spare place flani. Si ati ni risto za ocha, ni ujanja!

Mifugo itakuinua, na itakupeleka kwenye unataka.

8

Page 9: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

9

Page 10: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

Afya Yako, Haki Yako!

10

Page 11: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

11

Page 12: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

MALKIA!

Unaletwa kwa hiii hospitali ya wananchi na uko na

health insurance?!

Hapa hauwezi-treat-iwa vizuri! Wacha nikupeleke kwa private

clinic my daughter.

NURSE!! Kuja unisaidie kumbeba mtoto wangu

nimtoe hapa!

hospitaliuko na

Hapa hauwezi-treat-iwa vizuri! Wacha nikupeleke kwa private

KU-DUFF!!

12

Page 13: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

Si uharakishe, hauoni mtoto wangu hajahudumiwa?! Heee! Mtajipanga!

At least tume-manage kuja kwa clinic. Doctor wa hapa ni mzuri sana,

atakupatia very good treatment.

Aki mum kwa ile hosi, hawakuwa wananiskia!

Nilingoja 3 hours kabla daktari afike. Hakunipima,

nurse amenitukana…

eh!wewe tena!

13

Page 14: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

Pole sana Stella. Nilikuwa held-up kwa ile hospitali ya

wanachi. Lakini nimefika, hakuna kazi ya maana huko!

Mum, huyu ni yule daktari wa

ile hosi!

Shhh!

Hehe, em, er, sorry daktari, unajua watoto

siku hizi wanapenda kuongea ovyo ovyo…hehe

No problem Stella, naelewa ni madawa

zinamsumbua.

Thank you daktari. Umetusaidia sana. Labda tunaweza patana baadae

tukunywe kahawa au juice?

Ni sawa Stella. Ok, mkihitaji anything, nipigie simu anytime, 24 hours.

Unaezaje ongea hivyo mbele ya daktari? Haujui

yeye ni a very respectable professional?!

14

wananchi.

Page 15: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

Niko lucky nina insurance, sasa wale wamebaki kwa public hospital sijui kama walihudumiwa? Wacha

niambie DJB vile ni lazima tu-demand better services kwa hosi zetu!

ya kujua ni ugonjwa gani umepatikana nayo, na ni matibabu gani daktari ana plan kukupa, na matajario ya daktari kulingana na matibabu.ya kuhudumiwa kwa vipoa bila kutukanwa au kudhulumiwa

KaMa uMEdHuLuMiWa HoSi:

0204343074 0728310983 0733689320 [ulizia alice]

Pata info zaidi juu ya hawa wasee kwa

web: www.cfk.unc.edu

Morris Moses foundation ni organization ambae nahimiza wasee wajue haki zao juu ya matibabu kwa hosi.

Medical Practitioners & dentists boardWoodlands Road , P.o box 44839 – 00100 nairobi

Tel: 0722631601

omba copy ya file yako ya matibabuandika barua na complaints zako na u-include copy ya file yako kwa:

Tuma copy ya hii complaint kwa

[email protected]

ili wakusaidie kufuatilia kesi yako.

Pia unaweza kuenda kortini na complaint yako!

usiogope kufuatilia haki yako! Pata info zaidi kutoka Morris Moses foundation:

una RiGHT:

uLiza quESTionS KaMa HauELEWi info aMbayo uMEPEWa KWa HoSi.

15

Page 16: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

Wow! Congrats DJ B, people lyk u ought 2 live long. U r an inspiration n admiration 2 many. Thanx 4 ur articoz n creativity. BIG UPS 2 YA ALL. Love ya big!

Manze mna idea noma sana. Imagine nina 1 month tangu nianze kusoma hizi comic zenyu na zimenibenefit tu sana, so keep it up coz zita change Kenyans sana. If zingewafikia wasee wote na wasome, tunge-live in a new Kenya without tribalism. Chaoos! - Mary. *

DJ B u have changed ma life! The magazines zimeni-inspire so I will think of ideas n send it to u on Facebook. - Dicky, Kisii.

Niaje DJ B! Radio show yako imeni-teach lessons kibao na many have bin assisted especially ya traibo. Otherwise show iko fine. - Billow Abdi.

DJ B nimepata iyo stori ya rabbit kwamba naeza kuget chedaz, manure na

food kwa rabbit nita-spread gospel tuweze kujisaidia. - Marleen.

Nawa-thank sana kwa ku-start huu mradi wa kusaidia mayouths. Mimi

hufuga kuku wa kienyeji na bizna hii imeniinua sana. - Juma, Kibera.*

Niaje Boyie, show yako imeni-assist na nimeacha kugej nimeanza project ya kukeep rabbits . - Josef Mugo, Baricho.*

Niaje DJ B, mimi nafuga sungura na inani-benefit coz natumia tym yangu free viruzi kuzichunga na inanipa doo na food.

Hi DJ B, thanx alot nime read chapta 14 na iko mez poa kwa wasee kuhusu ukabila. Ope wata-change. - Monica Wambui.

Hapo sawa. Beauty is not seeing which tribe she belongs to plus the skin colour. Beauty is in some1’s heart n how both of u feel about each otha. - Humphrey Karanja.

Naona all the issues about tribalism almost 90% zinaletwa na ma-leaders wetu. Solution ni..mayuth waache kudanganywa na ma-leaders. - Brayo. *

For me, I would just follow what my heart tells me...shida ina-last lakini doo ni kitu utaspend iishe. Jiamulie ukijua kuna consequence! - Wendie Agumba. *

DJ B, gej inasumbua mayuts wetu huku mtaani. Machief wetu wakitake fast action, mayut watasaidika na familia zetu. - Brian Onyango, Tasiaa.

Big-Ups To Shujaaz!

traibo!

Kufuga Kuku Na Sungura!

Unaweza Marry Kutoka Tribe Different?

Leaders Wasituhonge Tuki-Speak Out!

Story Za Alcoholism

FacebookDJ Boyie

SMS3008

Shujaaz

Vila Joy WambuiAka: TashaBase: Embu14 years

Chuo kwetu kulikuwa na madem wengi wana-harass-iwa na hawana place ya ku-report. Nilisoma juu ya

harassment in schools kutoka ShujaazFM comic. Hapo ndio niliamua kuanzisha

counselling club. Nilibonga na ma-teacher na nikaanzisha hii club.

Hii club inasaidia madem wengi huku Embu. ShujaazFM ime-help mayuts wabonge freely juu ya issues zao.

= t-sho winners!

Asanteni sana kwa

feedback yenu. Big up kwa winners wa

T-sho!!

Shujaaz FM radio show imeshinda award noma kutoka One World Media!

Big up kwa wasikilizaji wote! Endeleeni

kusikiliza!

16

Page 17: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

Wow! Congrats DJ B, people lyk u ought 2 live long. U r an inspiration n admiration 2 many. Thanx 4 ur articoz n creativity. BIG UPS 2 YA ALL. Love ya big!

Manze mna idea noma sana. Imagine nina 1 month tangu nianze kusoma hizi comic zenyu na zimenibenefit tu sana, so keep it up coz zita change Kenyans sana. If zingewafikia wasee wote na wasome, tunge-live in a new Kenya without tribalism. Chaoos! - Mary. *

DJ B u have changed ma life! The magazines zimeni-inspire so I will think of ideas n send it to u on Facebook. - Dicky, Kisii.

Niaje DJ B! Radio show yako imeni-teach lessons kibao na many have bin assisted especially ya traibo. Otherwise show iko fine. - Billow Abdi.

DJ B nimepata iyo stori ya rabbit kwamba naeza kuget chedaz, manure na

food kwa rabbit nita-spread gospel tuweze kujisaidia. - Marleen.

Nawa-thank sana kwa ku-start huu mradi wa kusaidia mayouths. Mimi

hufuga kuku wa kienyeji na bizna hii imeniinua sana. - Juma, Kibera.*

Niaje Boyie, show yako imeni-assist na nimeacha kugej nimeanza project ya kukeep rabbits . - Josef Mugo, Baricho.*

Niaje DJ B, mimi nafuga sungura na inani-benefit coz natumia tym yangu free viruzi kuzichunga na inanipa doo na food.

Hi DJ B, thanx alot nime read chapta 14 na iko mez poa kwa wasee kuhusu ukabila. Ope wata-change. - Monica Wambui.

Hapo sawa. Beauty is not seeing which tribe she belongs to plus the skin colour. Beauty is in some1’s heart n how both of u feel about each otha. - Humphrey Karanja.

Naona all the issues about tribalism almost 90% zinaletwa na ma-leaders wetu. Solution ni..mayuth waache kudanganywa na ma-leaders. - Brayo. *

For me, I would just follow what my heart tells me...shida ina-last lakini doo ni kitu utaspend iishe. Jiamulie ukijua kuna consequence! - Wendie Agumba. *

DJ B, gej inasumbua mayuts wetu huku mtaani. Machief wetu wakitake fast action, mayut watasaidika na familia zetu. - Brian Onyango, Tasiaa.

Big-Ups To Shujaaz!

traibo!

Kufuga Kuku Na Sungura!

Unaweza Marry Kutoka Tribe Different?

Leaders Wasituhonge Tuki-Speak Out!

Story Za Alcoholism

FacebookDJ Boyie

SMS3008

Shujaaz

Vila Joy WambuiAka: TashaBase: Embu14 years

Chuo kwetu kulikuwa na madem wengi wana-harass-iwa na hawana place ya ku-report. Nilisoma juu ya

harassment in schools kutoka ShujaazFM comic. Hapo ndio niliamua kuanzisha

counselling club. Nilibonga na ma-teacher na nikaanzisha hii club.

Hii club inasaidia madem wengi huku Embu. ShujaazFM ime-help mayuts wabonge freely juu ya issues zao.

= t-sho winners!

Asanteni sana kwa

feedback yenu. Big up kwa winners wa

T-sho!!

Shujaaz FM radio show imeshinda award noma kutoka One World Media!

Big up kwa wasikilizaji wote! Endeleeni

kusikiliza!

17

Page 18: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

MCHONGOANO

SHENG DICTIONARY

* idda dickson umeshinda T-Sho kwa ku-contribute sheng noma!

arosto - Sotachiwawa - dogibakubaku - bag*Gathemba- father - “Gathemba wa charlie Pele anaamini utraibo.”Gafe/ngiai - chai* - “nimekunywa ngiai na mandazi kwa Mama Kago.”Lapa - danganya ngeso – English - “Si unajua chuxx hakuwangi poa risto za ngeso!”njweta - Sweta*Mongiso/aK- RifleMguu ya kuku- Pistolombitho- bangiPara - Kofia*Tonje- Laptop

Shuj

aaz(

TM) i

s pu

blis

hed

by W

ell T

old

Stor

y Lt

d. ,

P. O

. Box

170

0 00

502

Nairo

bi, K

enya

. Tel

: 02

0260

3214

ww

w.w

ts.c

o.ke

. Prin

ted

by C

olou

rprin

t Lim

ited,

P. O

. Box

444

66 -

0010

0 Na

irobi

GPO

. Pro

duce

d in

col

labo

ratio

n w

ith: S

afar

icom

, Tw

awez

a, R

IU.

Dist

ribut

ed b

y Sa

turd

ay N

atio

n an

d Sa

faric

om.

Cont

ent p

rodu

cer:

Audr

ey W

abw

ire

Cont

ent:

Paul

Pet

er K

ades

| Vi

ncen

t Mut

hini

| Da

vid

Oum

a

Art P

rodu

cer:

Fatim

a Al

y Ja

ffer

Lay

out

desi

gn: S

tefa

nie

Frec

cia

| Joe

Bar

asa

Ar

t: Da

niel

Mul

i | E

ric M

utho

ga |

Salim

Bu

suru

| No

ah M

ukon

o | J

oe B

aras

a R

adio

: Eun

ice

Mai

na

Spe

cial

than

ks to

Jus

t A B

and

for t

heir

fant

astic

mus

ic o

n Sh

ujaa

zFM

radi

o

Wel

l Tol

d St

ory

© 2

011

All r

ight

s re

serv

ed. N

o pa

rt of

this

pub

licat

ion

may

be

repr

oduc

ed, s

tore

d in

any

retri

eval

sys

tem

or b

e tra

nsm

itted

in a

ny fo

rm o

r by

any

mea

ns, e

lect

roni

c or

mec

hani

cal w

ithou

t prio

r per

mis

sion

of t

he

publ

ishe

rs. A

lthou

gh e

very

effo

rt ha

s be

en ta

ken

to e

nsur

e th

e ac

cura

cy o

f inf

orm

atio

n co

ntai

ned

in th

is p

ublic

atio

n, in

no

even

t sha

ll th

e pu

blis

hers

be

liabl

e fo

r any

inci

dent

al, i

ndire

ct, c

onse

quen

tial l

osse

s or

dam

ages

of a

ny

kind

with

out l

imita

tion

aris

ing

out o

f or i

n co

nnec

tion

with

the

use

of th

e in

form

atio

n in

this

pub

licat

ion.

18

una kichwa kikubwa hadi ukisimama at a distance mtu anadhani ni sign board ya lollipop. - ashley Peter

Wewe ni mchafu hadi una mashilingi kwa roho. - Raul G Machariaz

una siz mnono hadi chali yake humshow “u are two in a million”.

una sura mbaya ukicheka watoi wanalia! - ann Karendi

Kwenu shagz ni slopey hadi doggy hu-bark kaa zime-cling kwa mandizi. Linikony Gatimu

Shosh yenyu ni mzee hadi birth certificate yake isha kuwa diploma.

Mbuyu wako amesota hadi mlipovamiwa alitumia police ‘please call me’.

Kwenu mko wengi mpaka unatumia megarider kuingia.

Wewe ni expert wa ku-beep wengine mpaka ukibeep simu hujiandika“almost a missed call”!

nyinyi ni wengi hadi mtoi wenyu wa mwisho anaitwa “etc”.

ati wewe ni mjinga, ulipanda mti ndio ukue branch manager. - collins njite

Page 19: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

j.k tumeshinda hapa two hours na tuko na points mbili

pekee. hii assignment tutaimaliza leo?

ile website tulipata ilikuwa na points mob ukazikataa. sasa

it’s almost usiku.

hizo zilikuwa story za wasee wa america,

hazi-apply hapa.

i wish tungeweza kupata mtu

ameenda campo hapa atu-show

hizi story.

sasa maria kim

na j.k.? nimesikia mkiongea. kuna msee najua

anaweza kuwasaidia. naweza kuwapeleka

kwake.

ah, edna! utakuwa umetusaidia

sana, twende!

cindy, natoka mapema kidogo. si ikifika 7.30

ufunge cyber?

hakunanoma. tuchekiane

kesho!

Najua mimi ni orphan, na nime-grow-ia ghetto, lakini siwezi stand story za corruption. Niko ready kwa any challenge!

Beste Wa Elimu

19

Page 20: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

huyu msee alini-show ati ali-graduate two years ago. unajua nilimaliza high

school sasa nangoja kuenda university kusomea

architecture.

so huyu msee alisema niki-get time

nimuone anishow stori za uni.

time kama hizi yeye huwa pale

eh, lazima nisaidie johny asome apite,

asiwahi fanya kazi kama hii.

poa.

NImekuja na mabeste zangu utu-show vile UNI kulikuwa.

oh! aaah...

chuxx?

chuxx!

oh, mnajuana?

sasa?

20

Page 21: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

mimi sikudhania ati umewahi

kuona mlango ya uni.

hehe! so mnatakaje?

tuna-do research on “benefits of

going to university”, tungependa utu-help.

oh... benefisss...beneffff... benefists? nitawashow!

campo tulikuwanga tunakatika! bash kila

weekend! tulikuwa tunaletewa ma-dj wanoma nakuambia! madem kibao.

Kuku dance jo!

ulifanya course gani?

ah, wewe nawe! nani hukumbuka

course alifanya? acha niku-show... 21

Page 22: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

Tilikuwa tunawasha

tuki-get dooh za student loan! Gej ilikuwa ina-flow

kama rive!

chuxx!! acha mchezo!

tuambie ukweli!

umm...

ok. ukweli sikuenda campo. nili-fail exams

primo, hata sikuenda university.

ni cousin yangu alikuwa uni,

ndio alikuwa akini-invite kwa

ma-bash.

nikiwa primo books zilikuwa zinanilemea. sikuwa na-understand.

nili-try kutafuta usaidizi...

22

Page 23: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

ma odijo wako busy...

Mbuyu hakuwa na interestteacher, i have

a question about this problem. i don’t

understand...

not now, nduma. i’m busy marking the exams, ok?

dad, kuna hii project ya shule... unaweza kunisaidia

kuifanya...

nduma, mimi sina time ya hizo vitu za chule. unaona hii chamba yote inafaa ilimwe kabla mvua

ianze?

kama tu ningepata mtu wa

kunisaidia na my school work, ningeenda mpaka campo na saa hizi life

yangu ingekuwa different sana.

Sikujua kusoma inaeza

kuwa hard hivyo. Haikuwa

fault yako!

thanks...

life yangu imekuwa hard, lakini ukinipa hug moja tu nitakuwa poa...

get your hands off

me!

oh, puliiz! hebu

twende! hey, mimi ninaishi hapa. si tuonane

kesho basi?

sawa. good night!

kumbe ni poa kusaidia mtoi ako shule. Imagine Chuux angepata extra

help, angeendelea tu poa na masomo.

eeeish!

23

Page 24: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

Lazima tufanye more kusaidia watoi wa hii area yetu na

masomo.

thanks kunifikisha home. tuchekiane

kesho cyber!

this sato ninasaidia bryo

ku-learn multiplication.

Hii homework lazima tumalize pamoja.

Bryo, uki-multiply unaweka hivi kando, halafu unaanza

kuhesabu. Na nyinyi ingieni hapa tusome

together...

Unafanya nini

kU-improve

elimU ?

rafiki wa elimu ni group yenye ina-involve wasee wote mtaani, wakuwe na interest kwa quality ya elimu.

Vitu ndogo kama kusaidia watoi na homework inaweza change future yao. Hivi ndio mayuts tuta-change quality ya elimu Kenya.

KuWa RafiKi Wa ELiMu ndio: upate chance ya kuuliza maswali juu ya quality ya masomo ya area yenu kwa church, mosque ama community meetings. ukuwe na info zaidi juu ya vile education system inaendelea kwa area yenu.

Msee yeyote anaweza join rafiki wa elimu.

download form kwa www.uwezo.net na uitume kwa

P. o. box 10565-00100 nairobi.

ama sms kwa 3016.

facT: System yetu ya education ina shida kadhaa.

LaKini: Education ni responsibility yetu sisi wote. Kuwa beste ya elimu.

DJ B Ambia wasee wakuwe beste ya elimu, badala ya ku-complain kila

wakati!

24

Page 25: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

...halafu na-get

ball mpya...

...plus njumu poa za ball...

...jersey ndio hiyo!

...pia na-buy

tractor!

...hata naeza buy

ndege!

aki siwezi ngoja!

na hii dooh yote... utapata

wapi?

sweet potato zimeiva! twende

tuzicheki!

Majuju Za Sangoma Tena?!

25

Page 26: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

sasa taabu...

watasikizana aje? wataishi

aje?

hm...

labda niende

kwa wale jirani...

tukizingumza, labda tutapata suluhisho...

njia ya kusaidia watoto wetu...

mtego! bila shaka, maadui wangu

wanadhani wamenipata! lakini WAPi!

hahaha!

lakini... hii ni mtego ya aina

gani wameniachia?...

sio shimo la nyoka...

...na sio cage kama ya ndege...

labda ni...

anataka kuoa msichana wa

kabila ingine...

haiya!

sangoma saidiaaaa...

oho! charlie

amefurahi kweli kweli!

tazama sasa baba charlie, ambaye

wakati uo huo,

anaelekea nyumbani...

26

Page 27: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

...nikaona hii shimo njiani kama trap

inaningojea...

...nilikuwa natembea

hivi...

nakuuliza, sangoma, hii ni uchawi

gani hii?!?!?!

kweli...

...ni karne mingi tangu nione uchawi

ya hii kiwango...

...naombea nguvu za kuikinga

inavyostahili...

27

Page 28: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

muda si muda, charlie na rosie wanafika shambani!

...labda hata tunaweza kuonja

sweet potato moja saa hii...

aaaaaah! sweet potato

zote zimeharibika!!!

usijali, charlie--

uncle atakusaidia...

ndoto zangu...!

28

Page 29: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

ulikuwa umeziacha shambani sana...

niliziacha hapa kwa sababu niliambiwa ukizitoa

mchangani ndio zinaoza

haraka...

hiyo ndio sababu sasa zimeoza...

naweza kukuonyesha

method yenye mimi natumia ku-store sweet potatoes ili zisioze shambani...

method yangu

inazikawisha...

kuja nikuonyeshe...

29

Page 30: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

mnafanya nini?!?!?!?!

kanyanga yote,

sangoma!!!

hizo ni sweet

potatoes zangu!!!

...sema nini?

lipeni!

kujeni hapa

mnilipe!

Mnakumbuka vile tulipanda new variety

sweet potatoes? Cheki Chapta 5

www.shujaaz.fm

2. Weka nyasi imekauka ndani ya hiyo shimo. Hii nyasi itakuwa kama cushion ya sweet potatoes, na pia inanyonya moisture kwa shimo ndio sweet potatoes zisi-spoil.

1. chimba shimo kwa mchanga, penye maji haiwezi fikia.

3. Sasa panga sweet potatoes zako zote hapo ndani. Then, zifunike na nyasi imekauka.

4. Jazilia hii shimo na mchanga.

5. Mwishowe, jenga roof thatched [ile ya nyasi] ili pawe cool, pasipigwe na jua. Hiyo space imebaki katikati ya roof na mchanga ni ventilation.

TRy Hii idEa na u-SHoW dJb KWa

3008!

Usiache sweet potatoes kwa shamba

kama zimeshakuwa, zitao-za, zitakulwa na wadudu,

na utapata hasara. Jenga store kama yangu

na uta-make dooh juu utauzia wasee

during low season!

30

Page 31: 16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

Art Kona

Abdullahi Ismail, 18 yrs from Huruma

Nancy Chalagat, 18 yrs from Rongai

Yohaan David

Asanteni sana kwa wale wote

walituma art work. Mko juu tu sana!

Wote mtapata t-sho!