Juma - Wyzed Educational Media – ….Because Every … · Web viewChati 3 Sarufi Mpangilio wa...
Transcript of Juma - Wyzed Educational Media – ….Because Every … · Web viewChati 3 Sarufi Mpangilio wa...
Welcome to the Longman Kenya schemes of work
We are delighted to bring you Kiswahili schemes of work ready for use.The Kiswahili schemes of work are in line with our mission which is to make your work easy so you can focus on the business of teaching. While preparing these schemes, careful consideration was given to the need to make your classes innovative, lively and inspiring. The Kiswahili schemes cover the entire secondary cycle, from form 1 to 4. You will need to scroll down the CD to get to your specific subject area. The subject areas are arranged alphabetically.We do hope you will find the suggested activities and resources motivating and in line with the curriculum requirements. The schemes are a guide and you should adapt them to suit your particular circumstances.The Kiswahili schemes of work are based on the following tried and tested Longman Kenya textbooks and supplementary books:
Textbooks Hazina ya Kiswahili Kidato 1-4
Reference Books Marudio ya KCSE ya Kiswahili Zilizala na Kimani Njogu (New)
To make the most of the schemes you need to have the books listed above.
We know that in this new era of multi-media technology the needs and expectations of your learners are constantly changing, and we aim to provide inspiring, innovating and high-value books that will keep them interested. Whatever your subject area or interest Longman Kenya has something for you.We look forward to supporting you and your learners over the coming years and hope you enjoy using our schemes of work.Do not hesitate to contact me for any clarifications.Best wishes
Jacob Macharia
Sales Manager, Longman KenyaTel: Mobile – 0724 159770 Office – 020 2219177
MUHULA 1KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
1 1 Ufahamikiaji Utangulizi wa Somo. Lugha ni nini?
Aweze kutaja na kueleza sehemu muhimu za somo la Kiswahili
Kujitambulisha Hazina ya Kiswahili Kidato 1Ukurasa wa 1
Kitabu
2 Kusikiliza na Kuongea
Matamshi bora- KiimboShadda
Aweze kufanya mazoezi ya kutosha ya kutamka na mahali ya kuweka shadda
Kutamka Hazina ya KiswahiliKidato 1Ukurasa 3
Kitabu
Kamusi
3 Kusoma UfahamuWasiwasi Kuhusu Mtihani
Aweze Kusoma kwa ufahamu na kujibu maswali ya Ufahamu vilivyo.
- Kusoma- Kujibu maswali
Hazina ya KiswahiliKidato 1Ukurasa 8
Kitabu
4 Sarufi Viambishi Aweze kutaja na kutambua aina za viambishi vya lugha ya Kiswahili
Kutambua mzizi kisha viambishi
Hazina ya Kiswahili Kidato 1Ukurasa 16
Kitabu
Kamusi
5 Kuandika InshaMaelezo ya Utangulizi
Aweze kutaja sifa za insha bora na sehemu muhimu za insha hiyo.
Maelezo
Kuandika
- Hazina ya KiswahiliKidato 1 - Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
JUM
AKIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
2 1 Kusikiliza na kuongea
Matamushi bora-Vokali-Irabu
Aweze kutamka vizuri vokali na konsonati na kubainisha tofauti iliopo katika matamshi
- Kutamka
- Kuandika
Hazina ya KiswahiliKidato 1Ukurasa 14
Jedwali la irabu na vokali
2 Sarufi Silabi na Neno Aweze kubainisha maana ya silabi na kuitofautisha na neno
Kutamka Hazina ya KiswahiliKidato 1 Ukurasa 26
Vitabu
3 Sarufi Sentensi Aweze kubainisha sentensi ya Kiswahili
Kutunga Hazina ya KiswahiliKidato 1Ukurasa 26
Vitabu Daftari
4 Kusoma Ufahamu Ukale na usasa
Aweze kusoma kwa makini na kwa ufahamu na kujibu maswali vilivyo
Kusoma Hazina ya KiswahiliKidato 1Ukurasa 31
Vitabu vya kusoma
5 Kuandika Utungaji barua Aweze kutunga barua a kirafiki na kuiandika ipasavyo
Kutunga kuiandika
Hazina ya KiswahiliKidato cha 1Ukurasa 21
Karatasi
JUM
A
KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
3 1 Kusikiliza naKuongea
Maamkizi na mazungumzo kati ya majirani
Aweze kupanua uwezo wake wa kuzungumza na kujieleza kwa kushiriki katika maamkizi kati ya majirani
Kusikiliza
Kuzungumza
kuigiza
Hazina ya KiswahiliKidato 1Ukurasa 13
Kitabu
2 Sarufi Aina za maaneno Majina Kitenzi
Awezekutambua na kubainisha aina za maneno ya Kiswahili
Kutaja
kubainisha
Hazina ya KiswahiliKidato1Ukurasa 39
Kitabu
Chati
3 Sarufi Mpangilio wa sauti katika silabi na maneno
Aweze kutaja na kutoa mfuatano wa silabi na mwambatano wake
Kusoma
Kuandika
Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk.36
Kitabu
4 Kusoma Ufahamu Aweze kusoma kwa ufahamu na kujibu maswali ipasavyo
KusomaKuandika
Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk.41
Kitabu
5 Kuandika Insha ya Picha Aweze kuandika insha mwafaka ya picha kutokana na
Kuandika Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk 9
Picha
matukio anayoshuhudia
JUM
A
KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
4 1 Kusikiliza na kuomgea
MazungumzoShuleni
Aweze kushiriki vilivyo katika mazungumzo ya kawaida shuleni
Kuzungumza Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk.35
Kitabu
2 Sarufi Maneno Aweze kutaja na kutofaulisha aina mbalimbai za maneno
Kutaja
Kuandika
Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. I5
Kitabu
Ubao
3 Sarufi Vivumishi Aweze kupambanua aina mbalimbali za vivumishi
Kutaja
Maelezo
Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk 39
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Kusoma kwa mapana
Aweze kupanua uwezo wake wa msamiati kwa kusoma kwa kina
Kusoma Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 172
Kitabu
Kamusi
5 Fasihi Vipera vya Fasihi
Aweze kubainisha vipera mbalimbali vya Fasihi simulizi
Kuchora
Kuandika
Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk.
Kitabu
JUM
A
KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
5 1 Kusikiliza na kuongea
Maamkizi na mazungumzo ya nyumbani
Aweze kushiriki maamkizi ya wakati wowote na kushiriki mazungumzo nyumbani
Maamkizi
Mazungumzo
Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 13
Kitabu
2 Sarufi Vitenzi vya aina mbalimbali
Aweze kuvibainisha vitenzi mbalimbali na matumizi yake katika sentensi
Kubainisha Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 81
Jedwali
Kitabu
3 Sarufi VItenziAina mbalimbali
Aweze kutumia vitenzi vya aina yoyote katika sentensi ifaayo.
Kuandika
Kubainisha
Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk 43
Kitabu
4 Kusoma Muhtasari Aweze kusoma kwa makini kifungu cha habari na kukifupisha vilivyo
Kusoma Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 43
Kitabu
5 Kuandika Utenzi wa kisanii
Aweze kufanya utunzi wa hali ya juu ya kisanii
Kutunga Kuandika
Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 21
Daftari
JUM
A
KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
6 1 Kusikiliza na kuongea
Ufahamu wa kusikiliza
Aweze kusoma kwa makini na kusikiliza kwa makini na kwa ufahamu
Kuigiza
Kusikiliza
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk 65- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
2 Sarufi Viwakilishi Aweze kuvitambua na kuvibainisha viwakilishi katika sentensi
Kutaja
Maelezo
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 65- Mwongozo kwa mwalimu
Kitabu
Ubao
3 Sarufi Vielezi Aweze kumudu vyema matumizi ya vielezi katika sentensi na mazungumzo
Kutaja
Maelezo
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 62- Mwongozo kwa mwalimu
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Ufahamu Aweze kusoma kwa makini na kwa ufahamu na kujibu maswali vilivyo.
Kusoma
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 74- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
5 Kuandika Ufupisho Aweze kusoma kifungu cha habari na kukifupisha vilivyo
Kusoma
Kuandika
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1Uk 65- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu Kamusi
JUM
A
KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAZOEZI
7 1 Kusikiliza na kuongea
Fasihi Andishi Istilahi zake
Aweze kuvieleza vyema istilahi za fasihi andishi vilivyo
Maelezo Hazina ya Kiswahili Kidato 1Uk. 85
Kitabu cha Istilahi
2 Sarufi Wakati wa ‘ta’ Aweze kufanya matumizi mazuri ya wakati wa ‘ta’
Kutunga sentensi - Hazina ya Kiswahili Kidato 1Uk.60- Mwongozo wa Mwalimu.
Kitabu
3 Fasihi Usimulizi‘Hurafa’
Aweze kueleza kipengele cha hurafa katika fasihi simulizi
Maelezo - Hazina ya Kiswahili Kidato 1Uk. 85- Mwongozo wa Mwalimu
KitabuKamusi
4 Kusoma Maktabani Aweze kusoma kwa kina maktabani na kupanua uwezo wake wa kimsamiati
Kusoma - Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 64- Mwongozo wa Mwalimu
KitabuKamusi
5 Kuandika Mashairi mepesi
Awezekujimudu katika uandishi wa beti za mashiri
Kuandika
Kusoma
- Hazina ya KiswahiliKidato 1 Uk. 75
Kitabu
Kamusi
mepesimepesi - Mwongozo wa mwalimu
JUM
A
KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
8 1 Kusikiliza na kuongea
Mjadala Shule za Mseto ni bora
Awezekushiriki katika mjadala darasani na kujieleza vizuri.
Kusoma na kusikiliza
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 145.- Mwongozo wa mwalimu.
Kitabu
2 Sarufi Uakifishaji Aweze kuakifisha sentensi zote katika Kiswahili.
Kutunga sentensi - Hazina ya KiswahiliKidato 1 Uk 116- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu Kamusi
3 Udurusi Udurusu wa Jumla
Aweze kutafakari na kutathmini mambo muhimu yaliyopitiwa katika muhula.
Kumakinika - Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 97- Mwongozo wa Mwalimu
Vitabu
4 Kusoma Kusoma kwa kina Maktabani
Aweze kupanua ujuzi wake katika kusoma kwa kina maktabani.
Kusoma - Hazina ya KiswahiliKidato 1 Uk. 64- Mwongozo wa mwalimu Vitabu
5 Kuandika Insha Aweze kuandika insha ya kuvutia ya
Kuandika - Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 65 Daftari
masimulizi - Mwongozo wa mwalimu
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
9 1 Kusikiliza na kuongea MTIHANI
2 Sarufi3 Sarufi4 Kusoma5 Kuandika
MUHULA 2
JUM
A
KIPNDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
1 1 Kudurusu mtihani wa awali
Marudio ya mtihani wa muhula wa kwanza
Aweze kurekebisha makosa aliyoyafanya katika mtihani huo
Mapitio ya kila swali
Mtihani wa muhula wa Kwanza Nakala za
Mtihani
2 Sarufi Mapitio ya aina za maneno-nominovivumishi vitenzi
Aweze kubainisha aina zote za maneno
Kubainisha maneno
kuandika
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 39- Mwongozo wa Mwalimu
KitabuKamusi
3 Ufahamu Kusoma kwa Ufahamu
Aweze kusoma kwa ufahamu na kujibu maswali ipasavyo
Kusoma
Kujibu maswali
- Hazina ya KiswahiliI Kidato 1Uk. 54--56- Mwongozo wa Mwalimu
Hazina
Daftari
4 Kuandika Muhtasari Ufupisho
Aweze kutambua mbinu zote za ufupisho.
Kusoma kufupisha
Hazina ya KiswahiliKidato 1 Uk 43
Kitabu Kamusi Daftari
5 Kusikiliza na kuongea
Mazungumzo Shuleni
Aweze kushiriki mazungumzo kuhusu shida za watoto na wazazi wanapotokana
Kuzungumza
Kusikiliza
Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 35-56
Kitabu
Kamusi
JUM
A
KIPIMDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
2 1 Fasihi Vipera vya Fasihi Simulizi
Aweze kutaja vipera vya Fasihi na Vijipera vyake
Kutaja
Kueleza
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 18.- Mwongozo wa Mwalimu
Jedwali
Mchoro
2 Matamshi Bora
Vitatet/dk/g
Aweze kufanya mazoezi ya matamshi bora ya vitate- t/d
Kusoma vitate Kutamka
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 26.- Mwongozo wa Mwalimu.
Kitabu
Daftari
3 Sarufi Nyakati mbalimbaliLi-na- ta
Aweze kutumia nyakati mbalimbali vilivyo katika hali yakinifu na kanushi
Kusema Kuandika
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 60.- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Kusoma kifungu cha ufahamu
Aweze kusoma kwa makini na kwa ufahamu na kujibu maswali vilivyo
Kusoma
Kuandika
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 60- Mwongozo wa
Kitabu
Daftari
Mwalimu5 Insha Insha Aweze kuandika
insha bora ya Kiswahili na ya kuvutia
Kusoma Kujibu maswali
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 67- Mwongozo wa Mwalimu
Daftari
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
3 1 Kusikiliza na kuzungumza
Maamkizi ya nyumbani
Aweze kushiriki mazungumzo ya maamkizi ya nyumbani ili kupanua ujuzi wao wa maamkizi
Kuzungumza
Kuingiza
- Hazina ya KiswahiliKidato1Uk. 13- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
2 Sarufi Ngeli ya A_Wa
Aweze kuimudu ipasavyo ngeli ya A—Wa katika mazungumzo na matumizi
Maelezo
Sentensi
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 38- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
3 Sarufi Ngeli ya U---i
Aweze kuimudu vilivyo ngeli ya U—I katika mazungumzo na matumizi
Maelezo
Kutunga sentensi
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 52.- Mwongozo Wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Kusoma kwa ufahamu
Aweze kusoma kwa makini na kwa Ufahamu
Kusoma
Kujibu maswali
- Hazina ya KiswahiliKidato 1
Kitabu
Kamusi
kifungu cha habari
Uk 54- Mwongozo wa mwalimu
5 Kuandika Kuandika Ratiba
Aweze kuandika ratiba mwafaka kwa sherehe au tukio lolote
Kuandika maelezo
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 56.- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
4 1 Kusikiliza na kuongea
Matamshi borag/gh
Aweze kufanya mazoezi ya matamshi bora sauti za ‘g’ na ‘gh’
Matamshi
Maandishi
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 70- Mwongozo wa mwalimu.
Kitabu
2 Sarufi Ngeli ya Ki—Vi
Aweze kutumia barabara maneno ya ngeli ya Ki—Vi katika sentensi.
Kutaja maneno
Kutunga sentensi
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 70.- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
3 Sarufi Vielezi Aweze kutambua na kutumia vyema vielezi vya aina mbalimbali
Kutaja kuandika. - Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 62- Mwongozo wa
JedwaliLa Michoro
Mwalimu.4 Ufahamu Ufahamu Aweze kusoma
kwa ufahamu na kujibu maswali ipasavyo
Kusoma
Kujibu maswali
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 84.- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kitabu
5 Matangazo Matangazo Aweze kuandika matangazo kwa njia mwafaka.
kuandika- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 87.- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
JUM
A
KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
5 1 Kusoma Kusoma kwa kina – Mashairi
Aweze kusoma kwa kina mashairi mbalimbali na kuyabainisha vilivyo.
Kusoma
Kukariri
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 97- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
2 Sarufi Ngeli ya Ya—Ya
Aweze kufanya matumizi ya ngeli ya a—Ya katika sentensi na mazungumzo
Kutunga sentensi
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 83- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
3 Sarufi Ngeli ya Li—Ya
Aweze kutumia ipasavyo ngeli ya i—Ya katika Kutunga sentensi
- Hazina ya KiswahiliKidato 1
Kitabu
sentensi na mazungumzo.
Uk. 96.- Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
4 Kusoma Ufahamu Ulevi
Aweze kusoma na kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo.
Kusoma
Kuandika
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 96.- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
5 Muhtasari Muhtasari Aweze kusoma kifungu cha habari na kukifupisha vilivyo.
Kusoma
Kuandika
- Hazina ya KiswahiliKidato1Uk. 100.- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
6 1 Kusikiliza na kusoma
Matamshi bora ya vitanza ndimi
Aweze kufanya mazoezi ya matamshi bora ya vitanza ndimi.
Kutamka
Kuandika
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 79 - Mwongozo wa mwalimu.
Kitabu
2 Sarufi Ngeli ya I—I Aweze kutumia vilivyo ngeli ya I—I katika sentensi na katika mazungumzo
Kutamka
Sentensi
- Hazina ya KiswahiliKidato 1 Uk. 103- Mwongozo wa mwalimu
Kamusi
Kamusi
3 Sarufi Matumizi ya Aweze - Hazina ya
lugha-Visisitizi
kuvitambua na kuvitumia visisitizi kwa njia mwafaka.
Maelezo
Kusema
KiswahiliKidato 1Uk. 94.- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Kusoma kwa ufahamu
Aweze kusoma kwa ufahamu na kujibu maswali vilivyo.
Kusoma
Kujibu maswali
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 121- Mwongozo wa mwalimu.
Kitabu
Kamusi
5 Kuandika Ilani Aweze kuandika ilani vyema inayotoa maelezo maalum
kuandika - Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 108- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
7 1 Kusikiliza na kuongea
Matamshi bora ‘ny’ na ‘ng’
Aweze kufanya matamshi ya kutosha ya ‘ny’ na ng’
KusomaMazoezi
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 102- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Ubao
2 Sarufi Ngeli ya U—Zi
Aweze kuimudu ngeli ya U—Zi ipasavyo katika sentensi na
SentensiMazungumzo
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 127
Kitabu
Kamusi
mazungumzo - Mwongozo wa Mwalimu
3 Sarufi Ukubwa na udogo
Aweze kubainisha udogo na ukubwa wa maneno na kuyatumia katika ngeli zifaazo.
Kusoma
Kusema
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk 129- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma UfahamuDhuluma kwa wanawake
Aweze kusoma kwa ufahamu na kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo.
Kusoma
Kujibu maswali
- Hazina ya KiswahiliKidato1 Uk. 103- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
5 Kuandika Insha Aweze kuandika insha bora ya mdokezo
Kusoma Kuandika
- Hazina ya KiswahiliKidato1 Uk. 124.- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
8 1 Kusikiliza na kuongea
Aweze kufanya matamshi bora ya Vitanza ndimi’ ‘th’na ‘dh’
Aweze kufanya matamshi bora ya ‘th’ na ‘dh’
Kutamka
Mazoezi
- Hazina ya KiswahiliKidato1Uk. 126- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
2 Sarufi Ngeli ya U— Aweze kutumia - Hazina ya
U ngeli ya U—U vizuri katika mazungumzo na sentensi
Kutamka
Kusoma sentensi
KiswahiliKidato 1 Uk 116 - Mwongozo waMwalimu
Kitabu
Kamusi
3 Sarufi Kuakifisha Aweze kufanya uwakifishaji ufaao katika maandishi ya Kiswahili
Kuwakifisha sentesnsi
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 116- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Ufahamu Upishi
Aweze kusoma kwa ufahamu na kujibu maswali ipasavyo
Kusoma
Kujibu maswali
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 116- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
5 Kuandika Barua rasmi Aweze kuandika barua rasmi akizingatia kanuni zote zinazohitajika
Kuandika- Hazina ya KiswahiliKidato 1 Uk. 133- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
9 1 Kusikiliza na kuongea
Matamshi bora ‘l’ na ‘r’
Aweze kufanya mazoezi ya matamshi bora akizingatia herufi ‘l’ na ‘r’
Matamshi - Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk 111
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Mwongozo wa mwalimu
2 Sarufi Ngeli ya ‘Ku’—‘Ku’
Aweze kuitumia ngeli ya Ku—Ku vilivyo katika sentensi na mazungumzo
Kutunga sentensi- Hazina ya
Kiswahili Kidato 1 Uk 137
- MwongozoWa Mwalimu
Kitabu
3 Sarufi Mnyambuliko wa vitenzi
Aweze kuyambua vitenzi katika kauli ya kutendwa kutendeka na kuvitunzia sentensi.
Unyambuzi- Hazina ya
Kiswahili Kidato 1 Uk.134
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Mwongozo wa Mwalimu
4 Kusoma Kusoma kwa ziada- maktabani
Aweze kufana masomo ya ziada maktabani ya ujuzi akisoma kwa mapana na marefu.
Kusoma‘Maktabani’
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 141
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
5 Kuandika Kujaza fomu Aweze kufanya mazoezi ya kutosha na mwafaka ya kujaza fomu
Kujaza fomu
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 137
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MBINU ASILIA VIFAA MAONI
10 1 Kusikiliza naKuongea
Mjadala Tohara ya wasichana ni utamaduni
Aweze kushiriki vilivyo kwa kutoa maoni yake katika mjadala
Majadiliano
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 127
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
2 Sarufi Ngeli ya Pa- Ku- Mu
Aweze kutumia viambishi awali vya vitenzi atungapo sentensi
Kutunga sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 81
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Mwongozo Wa mwalimu
3 Sarufi Mnyambuliko KutendeaKutendana
Aweze kunyambua viivyo vitenzi kwa kuzingatia minyambuiko kutendewa/kutendeana
KutungaSentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 141
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
4 Kusoma Ufahamu Aweze kusoma kwa ufahamu na kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo.
Kutunga sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 141
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
5 Insha ya mazungumzo
Insha ya mazungumzo
Aweze kuandika insha nzuri ya mazungumzo baina ya wahusika kadhaa
Maelezokuandika
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 141
- Mwongozo wa Mwalimu.
Kitabu
Mwongozo wa mwalimu
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MBINU ASILIA VIFAA MAONI
11 1 Kusikiliza na kuongea
Semi Methali
Aweze kutambua vipengele vya semi kwa kushughulia methali
Kutoa Mifano ya methai
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 64
- Mwongozo
Kitabu
Kamusi
wa Mwalimu2 Sarufi Hali ya
mazoeaAweze kutunga na kuandika sentensi wakitumia hali ya ‘ hu’ ya mazoea
Kutunga sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 65
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
3 Sarufi Maneno ya Kiswahili
Aweze kubainisha maneno katika sentensi huku wakitambua kila aina ya neno
Kutaja
Kuandika
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 64
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Ufahamu Aweze kusoma kwa ufahamu na kujibu maswali vilivyo.
Kusoma kujibu maswali
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 64
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
5 Kusoma Kusoma kwa ziada
Aweze kusoma na kupanua uwezo wake wa kusoma kwa mapana na marefu
Kusoma
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
12 1 Kusikiliza na kuongea
Matamshi bora /m/ na /na/
Aweze kufanya mazoezi ya kutamka vyema herufi hizo husika
Kutamka
Kuandika
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 9
- Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi2 Sarufi Vielezi Aweze kuvitambua,
kuvibainisha na Kutunga - Hazina ya
Kiswahili Kitabu
kuvitumia vielezi kwa njia mwafaka
sentensi Kidato1 Uk. 64
- Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
3 Sarufi Viunganishi Aweze kuvibainisha viunganishi katika sentensi ya Kiswahili
Kuandika
Kusema
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 62
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi4 Kusoma Kusoma kwa
ziada maktabani
Aweze kubanua uwezo wake na maarifa kwa kusoma kwa mapana
Kusoma - Hazina ya
Kiswahili Kidato 1 Uk. 62
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
5 Kuandika Insha za methali
Aweze kuandika insha ya methali inayooana na methali
Kuandika- Hazina ya
Kiswahili Kidato 1 Uk. 64
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
MUHULA 3
JU
MA
KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
1 1 Kusikiliza na kuongea
Maamkizi kutega na kuunga maneno
Aweze kuzingatia mazungumzo husika na kutaja sifa za mazungumzo ya kawaida
Kuzungumza - Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 145
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
2 Sarufi Msamiati wa zana za vita.
Aweze kutaja misamiati kadhaa ya zana za vita kutungia sentensi
Kutaja zana za vita
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk130
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
3 Sarufi Upatanisho wa kisarufi
Aweze kukamilishajedwali kwa kutumia viambishi ngeli na pia kutunga sentensi sahihi
Kutaja viambishi ngeli
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 149
- Mwongzo Wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Ufahamu ‘Vita dhidi ya sigara’
Aweze kusoma kwa ufahamu kifungu cha habari na kujibu maswali ifaavyo
Kusoma Kuandika majibu
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 132
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
5 Kuandika Insha ya methali
Aweze kuandika insha nzuri inaooana vyema na methali
Kuandika
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 145
Kitabu
Kamusi
- Mwongozo wa mwalimu
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
2 1 Kusikiliza na kuongea
Hadithi ‘utambaji hekaya’
Aweze kushiriki ipasavyo katika kusimulia hekaya za kuvutia
Kusikiliza
Kusimulia
- Hazina ya Kiswahili Uk. 136
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
2 Sarufi Uakifishaji Aweze kuakifisha ifaavyo kwa kutumia alama za kuakifisha
Kutunga sentensi
Kuziakifisha
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 116
- Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu
3 Kusoma Riwaya Aweze kusoma kwa mapana na marefu huku akipanua uwezo wake wa lugha na msamiati
Kusoma kwa makini
‘Rosa Mistika’ Riwaya
4 Kusoma Matumizi ya kamusi
Aweze kueleza maana ya kamusi, umuhimu wake na muuundo wake
Kutaja manufaa ya kutumia kamusi
Kamusi mbalimbali
Kitabu
Kamusi
5 Kuandika Hotuba Aweze kuandika insha nzuri ya hotuba inayovutia msomaji.
Maelezo - Hazina ya
Kiswahili Kidato 1 Uk. 164
Kitabu
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
3 1 Kusikiliza na kuongea
Mjadala Sare za shule zitupiliwe mbali
Aweze kushiriki vilivyo katika mjadala na kujieleza ifaavyo.
KuzungumzaKusikiliza
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 145
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
2 Sarufi VimishiVimilikishi
Aweze kuvitaja na kuvitumia barabara vivumishi vimilikishi
Kutaja
Kutumia sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 94
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
3 Sarufi Riwaya Aweze kuongeza ujuzi wake wa lugha na msamiati kwa kusma kwa kina
Kusoma ‘Rosa Mistika’Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Kusoma kwa maktabani
Aweze kuongeza msamiati na ujuzi wake wa lugha kwa kusoma kwa mapana na marefu.
Kusoma kwa kina - Vitabu
- Magazeti
- Majarida
Kitabu
kamusi
5 Kuandika Utungaji tahadhari
Aweze kuandika tahadhari Kuandika
- Hazina ya Kiswahili Kitabu
kamilifu kamilifu na toshelevu ipasavyo
Kidato 1 Uk.173
- Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
4 1 Kusikiliza na kuongea
MisemoMisimuNahau
Aweze kutaja baadhi ya misemo nahau na misimu . kubainisha matumizi yake katika sentensi
Kuitaja
Kutumia katika sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 185
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
2 Sarufi Kuakifishaalama za mtajo. Alama za msharazi
Aweze kuakifisha vilivyo akitumia alama za mtajo na msharazi
Kuandika - Hazina ya
Kiswahili Kidato 1 Uk. 116
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
3 Kusoma Kusoma kwa ziada
Aweze kupanua ujuzi wake wa msamiati kwa kusoma kwa kina
Kusoma - Rosa Mistika Kitabu
Kamusi 4 Kusoma Ufahamu
Ulevi Aweze kusoma kwa ufahamu akijibu maswali ipaswavyo
Kusoma - Hazina ya
Kiswahili Kidato 1 Uk 96
Kitabu
Kamusi 5 Sarufi Uakifishaji
Kistari-kifupiAweze kuakifisha vilivyo kutumia Kuandika
- Hazina ya Kiswahili
kirefu vyema alama za kistari kifupi na kirefu
Kidato 1 Uk 116
Kitabu
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
5 1 Kusikiliza na kuongea
Mazungumzo kuadisi
Aweze kushiriki vilivyo katika mjadala wa kudadisi
Kusema
- Hazina ya Kiswahili Kidato1 Uk. 165
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
kamusi2 Sarufi Mnyambuliko
wa vitenzi-kutendeana-kutendesha
Aweze kubainisha mtindo wa kunyabua ipasavyo hali ya kutendeana
Kunyambua
- Hazina ya Kiswahili Kidato1 Uk. 165
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
kamusi
3 Sarufi Kirejeshi amba Aweze kutumia vilivyo kirejeshi amba kulingana na ngei husika
Kutungfa sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato1 Uk. 165
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
kamusi
4 Kusoma Kusoma kwa ziadaRiwaya
Aweze kupanua uwezo wake wa msamiati na lugha kwa kusoma kwa ziada
Kusoma
‘Rosa Mistika’Kitabu
kamusi
5 Kusoma ufahamu Aweze kusoma - Hazina ya
kwa ufahamu na kujibu maswai ya ufahamu
Kusoma Kiswahili Kidato1 Uk. 165
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
kamusi
-
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
6 1 Kusikiliza na kuzungumza
Ushairi Aweze kutaja na kufafanua vipera vya utanzu wa ushairi wa fasihi simulizi.
Kusema kusikiliza
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 165- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
2 Sarufi Matumizi ya lugha
Aweze kutumia vilivyo viashiria katika sentensi na kuvibainisha ipasavyo.
Kutaja
Kutumia
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 165- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu Kamusi
3 Kusoma Ufahamu ajali za barabarani
Aweze kusoma kwa kina na kupanua msamiati wake ipasavyo.
Kusoma
Kujibu maswali
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 170- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu kamusi
4 Kusoma Kusoma kwa kina maktabani
Aweze kusoma kwa kina na kupanua msamiati wke
Kusoma - Vitabu - Majarida - Magazeti
MagazetiMajaridaVitabu
5 Kuandika Maagizo Aweze kubuni na kuandika maagizo ya kueleweka juu ya utendaji husika.
Kuandika- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 108- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
7 1 Kusikiliza na kuzungumza
Maagizo Aweze kushiriki vilivyo katika maagizo ya aina yoyote darasani
Kuigiza
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk 165 - Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
2 Sarufi Sentensi za Kiswahili
Aweze kuzichanganua kwa wepesi sentensi za Kiswahili
Kuchanganua sentensi
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk 175- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
3 Kusoma Kusoma kwa ziada
Aweze kupanua msamiati wake kwa kusoma kwa mapana na marefu
Kusoma Kezilahabi
Rosa Mistika
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Ufahamu Aweze kusoma kwa ufahamu na kujibu maswali ipasavyo
kusoma
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk 105
Kitabu
Kamusi
- Mwongozo wa mwalimu
5 Kuandika Taarifa Aweze kuandika taarifa ya kubuni ipasavyo na kwa usahihi
Kusoma - Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk 108- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
8 1 Kusikiliza na kuongea
Vipera vya Fasihi- ngonjera vichekesho
Aweze kutaja vipera mbalimbali vya fasihi simulizi
Kuongea - Hazina ya KiswahiliKidato1Uk165- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
2 Kusoma Matumizi mbalimbali ya kamusi
Aweze kutaja matumizi mbalimbali ya kamusi
Kusoma - Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk 171- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi mbalimbali
3 Kusoma Kusoma kwa ziada rosa Mistika
Aweze kupanua msamiati wake kwa kusOma kwa sauti.
Kusoma Kezilahabi
Rsa mistika Kitabu
Kamusi 4 Sarufi Kikundi nomino
Kikundi tenziAweze kutaja sehemu muhimu za sentensi na
Kusoma - Hazina ya KiswahiliKidato 1 Uk 149- Mwongozo wa
Kitabu
kuzibainisha ipasavyo
mwalimu - Kie: silabasi uk 26
Kamusi
5 Sarufi Muundo wa sentensi
Aweze kubainisha muundo wa sentensi na kuzichanganua vilivyo
Kutaja kubainisha - Hazina ya Kiswahili: Kidato 1 Uk - Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
9 1 Kusikiliza na kuongea
Tanakali za sauti
Aweze kutaja na kutumia vilivyo tanakali mbalimbali za sauti
Kutaja
- Hazina ya KiswahiliKidato 1 Uk. 174- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
2 Sarufi Matumizi ya lugha
Aweze kutaja na kubainisha vilivyo visawe mbalimbali vya sentensi
Kuandika- Hazina ya KiswahiliKidato 1 Uk.175- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
3 Sarufi Uchunguzi wa sentensi ya Kiswahili sahili/ changamano
Aweze kuichanganua kwa kifupi sentensi fupi ya Kiswahili
Kuchanganua- Hazina ya KiswahiliKidato 1 Uk.- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Ufahamu Aweze kusoma kwa ufahamu na kujibu maswali ipasavyo na kwa usahihi
Kusoma - Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk.165- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
5 Taarifa Taarifa Aweze kuandika insha nzuri ya kubuni ya taarifa
Kuandika - Hazina ya KiswahiliKidato 1 Uk.162- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
10 1 Kusikiliza na kuongea
Mjadala‘Baba ana majukumu mengi’
Aweze kushiriki vilivyo katika mjadala wa Kiswahili kwa kujieleza ipasavyo
Mjadala - Hazina ya KiswahiliKidato1Uk. - Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
2 Sarufi Matumizi ya lugha
Aweze kujibu maswali aliyonayo kwa njia mwafaka
Kusoma
Kujibu maswali
- Hazina ya KiswahiliKidato1Uk. - Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
3 Kusoma Ufahamu Kusoma na kujibu maswali
Aweze kusoma kwa ufahamu na kujibu maswali vilivyo
Kusoma maswali - Hazina ya KiswahiliKidato1Uk.
Kitabu
Kamusi
- Mwongozo wa Mwalimu
4 Kusoma Kusoma kwa kina
Aweze kupanua msamiati wake na uwezo wake wa lugha kwa kusema kwa kina
Kusoma Keziahabi
Rosa Mistika
Kitabu
Kamusi
5 Kuandika Muhtasari Aweze kusoma kifungu cha habari na kuandika ufupisho bila kupoteza maana
Kusoma kuandika
- Hazina ya KiswahiliKidato1Uk. - Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
JUM
A
KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
11 1 Kusikiiza na kuongea
Fasihi simulizi Aweze kushiriki vilivyo katika masimulizi ya hurafa na kubainisha maana ya Hurafa
Kuzungumza
Kusikiliza
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk.135- Mwongozo wamwalimu
Kitabu
Kamusi
2 Ufahamu Ufahamu Aweze kusoma kwa makini na kwa ufahamu na kujibu maswali vilivyo
Kusoma - Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk.185- Mwongozo wamwalimu
Kitabu
Kamusi
3 Kusoma kwa kina
Kusoma kwa kina riwaya
Aweze kusoma kwa makini na kwa ufahamu na
Kusoma Kezilahabi
Rosa
Kitabu
Kamusi
kujibu maswali vilivyo
Mistika
4 Uakifishaji-ritifaa-mabano
UakifishajiRitifaa Mabano
Aweze kusema na kubainisha maana ya ritifaa na mabano na kutumia vilivyo katika lugha
Kutunga sentensi - Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk.165- Mwongozo waMwalimuSilabasi uk; 27
Kitabu
Kamusi
5 Methali Zinazooana kimaudhui
Methali zinazooana kimaudhui
Aweze kutaja kwa usahihi methali mbili au zaidi zinazooana kimaudhui
kutaja - Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk..- Mwongozo wamwalimu
Kitabu
Kamusi
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MBINU ASILIA VIFAA MAONI
12 1 Kusikiliza na kuzungumza
Mazungumzo‘Ufisadi’
Aweze kushiriki vilivyo katika mazungumzo ya ufisadi na kubainisha msimamo wake
Kuzungumza Kusikiliza
- Hazina ya KiswahiliKidato 1Uk. 184- Mwongozo wamwalimu
Kitabu
2 Kusoma Kusoma kwa kina
Riwaya
Aweze kusoma kwa makini na kwa kina na kupanua uwezo wake wa kimsamiati
Kusoma Kezilahabi
Rosa Mistika
Kitabu kamusi
3 Kusoma Kwa kina Aweze kusoma Kusoma - Hazina ya Kitabu
Riwaya kwa makini huku akipanua uwezo wake wa msamiati na lugha
KiswahiliKidato 1- Mwongozo wamwalimu
kamusi
4
Fasihi Semi misemo
Aweze kutaja semi kuzieleza maana na kutoa matumizi yake
Kutaja
Kueleza
- Silabasi Kidato 1Uk 26- Mwongozo wa mwalimu
Kamusi za semi
5 Sarufi Aina za maneno Aweze kubainisha aina mbalimbai za maneno katika sentensi.
Kutaja Kueleza - Hazina ya KiswahiliKidato 1- Mwongozo wamwalimu
kitabu