1DIFFERNT BETWEEN DRAMA

1
7/23/2019 1DIFFERNT BETWEEN DRAMA http://slidepdf.com/reader/full/1differnt-between-drama 1/1  TANGAZO MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA JESHI LA KUJENGA TAIFA LINAPENDA KUWATAARIFU VIJANA WATAKAOHITIMU KIDATO CHA SITA MEI 2015, KUWA WATAJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA KUANZIA JUNI 2015. ORODHA YAO NA VIKOSI WATAKAVYOPANGIWA ITATOLEWA BAADA YA MAWASILIANO KUKAMILISHWA KATI YA JKT NA BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA - NECTA. AIDHA, JKT LINATOA UFAFANUZI KUWA, MAFUNZO YA JKT YALIYOAHIRISHWA NI KWA WALIMU NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA WALIOKUWA WAJIUNGE NA MAFUNZO HAYO MWEZI JANUARI HADI MACHI 2015. MAFUNZO YA JKT HAYAKUSITISHWA KAMA ILIVYOANDIKWA KWENYE BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI PAMOJA NA MITANDAO YA KIJAMII. TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA MAKAO MAKUU YA JESHI LA KUJENGA TAIFA.

Transcript of 1DIFFERNT BETWEEN DRAMA

Page 1: 1DIFFERNT BETWEEN DRAMA

7/23/2019 1DIFFERNT BETWEEN DRAMA

http://slidepdf.com/reader/full/1differnt-between-drama 1/1

 

TANGAZO

MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA

JESHI LA KUJENGA TAIFA LINAPENDA KUWATAARIFU

VIJANA WATAKAOHITIMU KIDATO CHA SITA MEI 2015,

KUWA WATAJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA

MUJIBU WA SHERIA KUANZIA JUNI 2015. ORODHA YAO

NA VIKOSI WATAKAVYOPANGIWA ITATOLEWA BAADA

YA MAWASILIANO KUKAMILISHWA KATI YA JKT NA

BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA - NECTA.

AIDHA, JKT LINATOA UFAFANUZI KUWA, MAFUNZO YA

JKT YALIYOAHIRISHWA NI KWA WALIMU NGAZI YA

CHETI NA DIPLOMA WALIOKUWA WAJIUNGE NA

MAFUNZO HAYO MWEZI JANUARI HADI MACHI 2015.

MAFUNZO YA JKT HAYAKUSITISHWA KAMA

ILIVYOANDIKWA KWENYE BAADHI YA VYOMBO VYA

HABARI PAMOJA NA MITANDAO YA KIJAMII.

TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA MAKAO MAKUU YA JESHI LA

KUJENGA TAIFA.